UZUIAJI RUSHWA

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), pamoja na mambo mengine, ina jukumu la kuzuia rushwa kupitia uimarishaji mifumo. Katika kufikia lengo hili, TAKUKURU hufanya utafiti, uchambuzi wa mifumo, ufuatiliaji wa matumizi wa rasilimali za umma (PETS), kuwakutanisha wadau kwa ajili ya kuweka mikakati ya kutekeleza mapendekezo ya TAKUKURU ya kudhibiti rushwa na kufuatilia utekelezaji wa mikakati hiyo.

DCP-new
Bi. SABINA C. SEJA
MKURUGENZI WA UZUIAJI RUSHWA