UELIMISHAJI

Kurugenzi ya Elimu kwa Umma inatekeleza majukumu yake kupitia njia zifuatazo semina, mijadala ya wazi, midahalo, vipindi vya Redio na Runinga, matamasha na Kongamano, mikutano ya hadhara, maonesho, machapisho na kufungua klabu shuleni na vyuoni.

DCE-new
Bw. JOSEPH K. MWAISWELO
MKURUGENZI ELIMU KWA UMMA