UCHUNGUZI

TAKUKURU inatekeleza kazi za Uchunguzi kwa kuzingatia Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa sura ya 329. Utekelezaji wa jukumu la kuchunguza unaanza kwa kupokea malalamiko na taarifa mbalimbali kutoka kwenye vyanzo vya siri na wazi. Vyanzo hivyo ni pamoja na Taarifa ya Mkaguzi na Mdhiiti Mkuu wa Hesabu za Serikali, Financial Intelligence Unit (FIU), wananchi wanaofika katika ofisi za Taasisi, taarifa zinazopokelewa kwa njia ya barua, barua pepe, simu za kawaida pamoja na huduma ya simu ya bure ya 113.

TAKWIMU ZA UCHUNGUZI KUTOKA MWAKA 2017 – 2020

UCHUNGUZI-TAKWIMU-2017-2020.Download

Waliohukumiwa kwa Makosa ya Rushwa

Orodha ya Watuhumiwa wa makosa ya Rushwa waliohukumiwa adhabu mbalimbali zikiwemo faini au kutumikia kifungo jela wanapatikana kwenye ukurasa huu. ...

Wanaotafutwa na TAKUKURU

TAKUKURU Inawatafuta watuhumiwa walioko kwenye ukurasa huu kutokana na Makosa mbalimbali ya Rushwa wanayokabiliwa nayo, hivyo inaomba ushirikiano kutoka kwenu ...