Sera ya Faragha

Taasisi inazingatia faragha na usalama wa watumiaji wa tovuti na mifumo yetu kwa umuhimu mkubwa, haitakusanya wala kutoa taarifa binafsi kupitia tovuti na mifumo yetu isipokuwa kwa uamuzi binafsi wa mtumiaji atakapoamua kutoa taarifa hizo kwa hiari yake.

Vilevile tovuti hii ina viungio vinavyompeleka mtumiaji kwenye tovuti nyingine ambazo kwa namna nyingine kuna uwezekano tumetofautiana kwenye kanuni za faragha. Taasisi haiwajibiki kwa maudhui na kanuni za faragha za tovuti hizo.

Mabadiliko ya Sera ya Faragha

    Endapo kutatokea mabadiliko yoyote kwenye sera yetu ya faragha tutaweka mabadiliko hayo kwenye ukurasa huu.