PICHA:
JINA: RYOBA CHACHA NYAIMWA JINSIA: ME KAZI ANAYOFANYA: MKULIMA MKOA/ WILAYA: MARA, SERENGETI URAIA: TANZANIA MWAKA WA KUZALIWA 1972 NAMBA YA KITAMBULISHO: NAMBA YA JALADA: PCCB/MU/ENQ/01/2018 NAMBA YA KESI: COR. C. 01/2018 MAELEZO YA KOSA: KUTOA HONGO YA SH. 470,000 KWA MKUU WA KANDA YA KASKAZINI MWA HIFADHI YA SERENGETI ILI ASIENDELEE NA UCHUNGUZI WA JALADA LAKE LA KUINGIA HIFADHINI NA KUKATA MITI AKIWA NA SILAHA. KIFUNGU CHA SHERIA: KUTOA RUSHWA K/F 15(1)(b) CHA PCCA NA. 11/2007. JINA LA MAHAKAMA: MAHAKAMA YA WILAYA - SERENGETI TAREHE YA HUKUMU: 12.12.2018 ADHABU ILIYOTOLEWA: KIFUNGO CHA MIAKA MITATU JELA PAMOJA NA KULIPA FAINI YA TSH 1,000,000/=, FEDHA ALIZOTOA KAMA RUSHWA SH. 470,000 ZIMETAIFISHWA NA SERIKALI.