Taarifa kwa Umma

MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU

MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amemwapisha Bw. Crispin Francis Chalamila kuwa Mkurugenzi Mkuu wa...

ZIARA YA KIKAZI – TAKUKURU KATAVI

ZIARA YA KIKAZI – TAKUKURU KATAVI

    Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU CP. Salum Rashid Hamduni akiwa na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Bw. Sylvester A. Mwakitalu, wamefanya...

WAAMBIENI WANANCHI UBAYA WA KUCHAGUA VIONGOZI KWA RUSHWA-MHE. SIMBACHAWENE

THE 8th ICAC SYMPOSIUM

Mkutano Mkuu wa 8 unaojumuisha viongozi na wadau zaidi ya 500 kutoka Mamlaka za Kupambana na Rushwa Duniani umefanyika jijini...

MKUSANYA MAPATO KWA NJIA YA POS HALMASHAURI YA WILAYA YA MULEBA HATIANI KWA KUJIPATIA MANUFAA KWA FEDHA ZA SERIKALI

KUTOKA MAHAKAMA YA WILAYA ILALA

Shauri la Uhujumu Uchumi namba 9069/2024 limefunguliwa Aprili 8, 2024 katika Mahakama ya Wilaya Ilala mbele ya Mhe. Aneth Nyenyema-Hakimu...

MWENYEKITI WA KIJIJI AFUNGWA JELA MIAKA MINNE KWA KUOMBA NA KUPOKEA RUSHWA KUTOKA KWA MWANANCHI WAKE

WAZABUNI WAWILI HATIANI KWA RUSHWA

Mahakama ya Wilaya Biharamulo imewatia hatiani wazabuni wawili Bw Salanga Mayenga na Bw Vedasto Kiporoka. Washtakiwa wametiwa hatiani na kuaamriwa...

Page 1 of 32 1 2 32

Taarifa kwa Umma