NAIBU MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU AHIMIZA UADILIFU NA WELEDI KWA WATUMISHI WA TAKUKURU (M) SHINYANGA.
Katika kikao kilichofanyika Januari 18, 2023, Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Bibi Neema Mwakalyelye (aliyesimama mbele katikati), amewataka watumishi hao...