KLABU YA WAPINGA RUSHWA- IAA
Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Bibi. Neema Mpembe Mwakalyelye katika picha pamoja na Wanachama wa Klabu ya Wapinga Rushwa kutoka...
Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Bibi. Neema Mpembe Mwakalyelye katika picha pamoja na Wanachama wa Klabu ya Wapinga Rushwa kutoka...
Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU *Bibi. Neema Mpembe Mwakalyelye* amehudhuria ' The 8th African Anti Corruption Dialogue' inayofanyika Novemba 7-...
Mkurugenzi wa Uchunguzi TAKUKURU Bw. Simon Maembe akiwa pamoja na Bw. Dennis Lekayo kutoka Kurugenzi ya Uzuiaji Rushwa, wamewasilisha Maoni...
Viongozi watatu wa TAKUKURU - DAHRM Bw Ayoub Akida, RBC SHINYANGA - Donassian Kessy na RBC KATAVI Bw. Faustine Maijo,...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa, amehitimisha Mafunzo ya Awali ya Uchunguzi kwa Waajiriwa...
Bw. Crispin Francis Chalamila, Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU amehudhuria Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na...
PROFESA, Palamagamba Kabudi, Waziri wa Katiba na Sheria, amezipongeza TAKUKURU, NPS na Ofisi ya DCI kwa kuunda umoja unaojulikana kama...
Kikao cha Menejimenti kinachoundwa na Taasisi tatu (UTATU) ambazo ni TAKUKURU, Ofisi ya Taifa ya Mashtaka na Jeshi la Polisi...
TAKUKURU kwa mara ya kwanza, imeungana na Timu ya Waangalizi wa Uchaguzi Kimataifa nchini Msumbiji, kupitia utaratibu wa 'SADC ELECTION...
Wakiwa Vienna Austria ni Washiriki kutoka Tanzania katika kikao cha Wataalam wa Serikali kuhusu Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa...
Sera ya Faragha
© 2024 TAKUKURU