ZIARA YA KIKAZI CHAMWINO DODOMA
Juni 29.06.2022, Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU CP. Salum Rashid Hamduni, amefanya ziara ya kikazi ya kutembelea Ujenzi wa Uzio wa...
Juni 29.06.2022, Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU CP. Salum Rashid Hamduni, amefanya ziara ya kikazi ya kutembelea Ujenzi wa Uzio wa...
Pichani, aliyesimama mbele wa pili kutoka kushoto ni Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Kilimanjaro Bi. Frida Wikesi, akiwa na Afisa...
“Ni matarajio yangu kuwa mafunzo haya mtakayoyapata yatakwenda kuleta mabadiliko chanya katika utendaji kazi wenu na kwa watu mtakao wahudumia”....
Juni 22, 2022, wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 5 wa Viongozi wa Shirikisho la Mamlaka za Kupambana na Rushwa Afrika...
Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU CP. Salum Rashid Hamduni, akiwa na Mhe. Dkt. Jilly Elibariki Maleko, Balozi wa Tanzania Nchini Burundi....
Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU CP. Salum Rashid Hamduni, anahudhuria Mkutano Mkuu wa 5 wa Viongozi wa Shirikisho la Mamlaka za...
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Bibi Neema Mwakalyelye Juni 20, 2022, amefungua mafunzo kuhusu ‘Cyber Forensic’, yanayofanyika Jijini Dodoma kwa...
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi, amewataka Maafisa...
Viongozi wa TAKUKURU na ZAECA wamefanya ziara ya kumtembelea Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Mkurugenzi...
Sera ya Faragha
© 2024 TAKUKURU