TAKUKURU
No Result
View All Result
  • MWANZO
  • KUHUSU SISI
    • HISTORIA YA TAASISI
    • MUUNDO WA TAASISI
    • OFISI ZETU
  • UZUIAJI RUSHWA
  • UELIMISHAJI
  • UCHUNGUZI
  • WASHIRIKA
  • MACHAPISHO
  • Huduma
    • E-Huduma
    • E-Malalamiko
  • BLOGU
Taarifa kwa Umma
  • MWANZO
  • KUHUSU SISI
    • HISTORIA YA TAASISI
    • MUUNDO WA TAASISI
    • OFISI ZETU
  • UZUIAJI RUSHWA
  • UELIMISHAJI
  • UCHUNGUZI
  • WASHIRIKA
  • MACHAPISHO
  • Huduma
    • E-Huduma
    • E-Malalamiko
  • BLOGU
No Result
View All Result
TAKUKURU
No Result
View All Result
Home Habari

UZINDUZI WA ‘THE AFRICAN ASSET RECOVERY PRACTITIONERS’ FORUM’ – AARPF.

UZINDUZI WA ‘THE AFRICAN ASSET RECOVERY PRACTITIONERS’ FORUM’ – AARPF.

Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Bw. Crispin Francis Chalamila anahudhuria mkutano wa kuzindua ‘Jukwaa la Wataalamu wa Urejeshaji Mali Afrika – (Africa Asset Recovery Practitioners’ Forum – AARPF).

Jukwaa hili litatumika kukutanisha wataalamu wanaohusika na ufuatiliaji na urejeshaji mali na kuwawezesha kuwa na sauti moja katika kufuatilia na kurejesha mali zilizopatikana kwa njia haramu ikiwemo rushwa, ndani na nje ya Afrika.

Katika Mkutano huu Mkurugenzi Mkuu ameambatana na Bi. Lilian William Kafiti kutoka Kitengo cha ATRU (DLS) aliyehudhuria kama Rais wa Asset Recovery Inter – Agency Network for Eastern Africa – ARNEA pamoja na Bw. Nathanael Otieno kutoka Kitengo cha ATRU (DLS) ambaye amechaguliwa kuwa ‘Focal Point’ wa Taasisi katika jukwaa hilo.

Mkutano huu ambao umeandaliwa na AU Advisory Board against Corruption – AUABC, unafanyika Nairobi Kenya kuanzia Aprili 15, 2025 na utahitimishwa leo Aprili 17, 2025.

ShareTweetSendShare

Taarifa kwa Umma

KUTOKA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU

KUTOKA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU

MFANYABIASHARA HATIANI KWA KUSHAWISHI, KUTOA HONGO

MFANYABIASHARA HATIANI KWA KUSHAWISHI, KUTOA HONGO

KUTOKA MAHAKAMA YA WILAYA YA TANGANYIKA MKOA WA KATAVI

KUTOKA MAHAKAMA YA WILAYA YA TANGANYIKA MKOA WA KATAVI

SONGWE, JAN – MACHI 2024

ALIYEKUWA AFISA MAENDELEO YA JAMII KATA YA MABIBO  BI. HAPPY GEOFREY MWAMAKULA AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA RUSHWA.

Habari Motomoto

  • Kuitwa kwenye usaili wa maandishi

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • National Governance and Corruption Survey (NGACS) 2020

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • Kuitwa kwenye usaili wa ana kwa ana (Oral Interview)

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MAFUNZO YA AWALI YA UCHUNGUZI YAMEHITIMISHWA RASMI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • Wanaotafutwa na TAKUKURU

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

WASILIANA NASI

MKURUGENZI MKUU
TAASISI YA KUZUIA NA KUPAMBANA
NA RUSHWA
1 Mtaa wa TAKUKURU,
S. L. P 1291
41101 DODOMA, Tanzania
Simu: (026) 2323316
Nukushi: (026) 2323332