MKUTANO WA AFR – LEN

Mshiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa Taasisi za Kupambana na Rushwa Afrika (AFR LEN) Bw. John Barry Sang’wa kutoka Kurugenzi ya Uchunguzi TAKUKURU (wa tatu kulia mbele), akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo uliondaliwa na Benki ya Dunia na kufanyika Washington DC nchini Marekani Aprili 7, 2025.

Mkutano huo ulijadili na kufikia maazimio mbalimbali yanayohusu maombi ya msaada wa kiuchunguzi kwa makosa ya rushwa yanayovuka mipaka kupitia njia zisizo rasmi (Requests for Informal Investigation Assistance) miongoni mwa  taasisi hizo.

Taarifa kwa Umma