Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Bw. Crispin Francis Chalamila amepokea ugeni kutoka Ofisi ya Taifa ya Mashtaka ukiongozwa na DPP Bw Sylvester Mwakitalu.
Kama inavyofahamika ofisi hizi mbili zina Mkataba wa Makubaliano ya Ushirikiano na mara kwa mara wanatekeleza majukumu yao kwa kushirikiana.
TAKUKURU Makao Makuu – Aprili 8, 2025