USHIRIKIANO

Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Bw Crispin Francis Chalamila amepokea ugeni wa Msajili Mkuu wa Mahakama Bi. Eva Nkya aliyeambatana na Msajili wa Mahakama ya Rufani Bw George Herbert ambao wamefika kwa ajili ya mazungumzo ya kikazi.

TAKUKURU Makao Makuu, Aprili 8, 2025

Taarifa kwa Umma