Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Bw. Crispin Francis Chalamila amewataka Wajumbe wa Kamati za Uadilifu kusaidiana na Menejimenti kusimamia maadili ya watumishi ndani ya TAKUKURU.
Ameyasema hayo Aprili 3, 2025, akifungua kikao kazi cha Wajumbe wa Kamati za Uadilifu za TAKUKURU kinachofanyika mkoani Singida kwa siku mbili.
TAKUKURU Singida, Aprili 3, 2025.