Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Bibi. Neema Mwakalyelye, ameendelea na ziara ya kikazi mkoani Mbeya na hapa anasaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika ofisi za TAKUKURU Mkoa wa Mbeya – TAKUKURU Mbeya, Machi 24, 2025.