ZIARA YA NAIBU MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU – IRINGA

Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Bibi. Neema Mwakalyelye amepanda mti wa kumbukumbu katika Ofisi za TAKUKURU Mkoa wa Iringa.

Pembeni yake ni Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Iringa Bw. Victor Swella. TAKUKURU Iringa. Machi 17, 2025.

Taarifa kwa Umma