Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Bw. Crispin Francis Chalamila, ametembelea ofisi za TAKUKURU Mkoa wa Mara Machi 17, 2025.
Hapa ni wakati amewasili na kusalimiana na baadhi ya watumishi wa TAKUKURU Wilaya ya Serengeti.