Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Bw. Crispin Francis Chalamila akipanda mti kama ishara ya kumbukumbu, alipotembelea Hospitali ya Rufaa ya Mount Meru mkoani Arusha. TAKUKURU Arusha Desemba 19, 2024