Katika picha ni Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Bw. Crispin Francis Chalamila akisaini kitabu cha wageni waliofika kuomboleza msiba wa Mama Mzazi wa Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba.
Msiba upo Mtaa wa Mwandiga Manispaa ya Kigoma-Ujiji na mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho Desemba 24, 2024.
TAKUKURU KIGOMA, Desemba 24, 2024.