Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU *Bibi. Neema Mpembe Mwakalyelye* amehudhuria ‘ The 8th African Anti Corruption Dialogue’ inayofanyika Novemba 7- 8, 2024, Jijini Arusha.
Mazungumzo hayo yamelenga kujadili Kaulimbiu isemayo: “Utaratibu wa Ulinzi wa Watoa Taarifa Wenye Ufanisi: Nyenzo Muhimu Katika Mapambano Dhidi ya Ufisadi”.