Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Bibi. Neema Mpembe Mwakalyelye katika picha pamoja na Wanachama wa Klabu ya Wapinga Rushwa kutoka Chuo cha Uhasibu Arusha IAA.
Mwenyekiti wa Klabu hiyo Bw Erick Kilembo(wa pili kushoto), ameishukuru TAKUKURU na Bodi ya Ushauri ya Umoja wa Afrika Dhidi ya Rushwa (AUABC) kwa fursa ya kushiriki katika The 8th African Anti-Corruption Dialogue.
Wana Klabu hao wameahidi kuendelea kuelimisha wanafunzi wengine na jamii inayowazunguka.
TAKUKURU Arusha Novemba 7, 2024.