Katika picha ni Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Pwani – Christopher Myava pamoja na Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Dodoma – Victor Swella, wakiwa na baadhi ya washiriki kutoka Mamlaka za Kuzuia na Kupambana na Rushwa Barani Afrika, wanaoshiriki mafunzo kuhusu ‘FRAUD AND CORRUPTION IN PUBLIC PROCUREMENT’.
Mafunzo haya yameandaliwa na Kituo cha Mafunzo cha ‘COMMONWELTH AFRICA ANTI – CORRUPTION CENTRE’ yanayofanyika Botswana kuanzia Oktoba 21 – 25, 2024.