KUTOKA BUNGENI

Bunge la 12, Mkutano wa 16 – Kikao cha 5 kilichoketi Septemba 2, 2024, limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (The Prevention and Combating of Corruption (Ammendments) Bill 2024.

Mkurugenzi Mkuu pamoja na viongozi wengine wa TAKUKURU walishiriki.