TAKUKURU
No Result
View All Result
  • MWANZO
  • KUHUSU SISI
    • HISTORIA YA TAASISI
    • MUUNDO WA TAASISI
    • OFISI ZETU
  • UZUIAJI RUSHWA
  • UELIMISHAJI
  • UCHUNGUZI
  • WASHIRIKA
  • MACHAPISHO
  • Huduma
    • E-Huduma
    • E-Malalamiko
  • BLOGU
Taarifa kwa Umma
  • MWANZO
  • KUHUSU SISI
    • HISTORIA YA TAASISI
    • MUUNDO WA TAASISI
    • OFISI ZETU
  • UZUIAJI RUSHWA
  • UELIMISHAJI
  • UCHUNGUZI
  • WASHIRIKA
  • MACHAPISHO
  • Huduma
    • E-Huduma
    • E-Malalamiko
  • BLOGU
No Result
View All Result
TAKUKURU
No Result
View All Result
Home Taarifa kwa Umma

AFISA MTENDAJI WA KIJIJI HATIANI KWA UBADHIRIFU

Mahakama ya Wilaya ya Mbulu imemhukumu MELKIADI ZAKARIA TLEHEMA aliyekuwa Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Hayloto kata ya Nambris, Wilaya ya Mbulu Mkoa wa Manyara.

Mshtakiwa ametiwa hatiani kwa makosa mawili ambayo ni Ubadhirifu na Matumizi Mabaya ya Madaraka, makosa hayo ni kinyume na kifungu cha 28 na kifungu cha 31cha Sheria Ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa sura ya 329 kama ilivyofanyiwa marejeo Mwaka 2022.

Hukumu hiyo dhidi ya Melkiadi Zakaria Tlehema, shauri la Uhujumu Uchumi Na 03/2023, imetolewa chini ya Mhe.Vitalis Eusebius Kapugi, Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Mbulu – Machi 2, 2024.

Mshtakiwa ameamriwa kulipa faini ya shilingi 200,000/= au kwenda jela miezi mitano. Pia mshtakiwa ametakiwa kurejesha fedha alizofanyia ubadhirifu kiasi cha shilingi 1,869,500/=.

Mshatikiwa alifanya ubadhirifu kwenye fedha hizo kupitia makusanyo ya fedha za wananchi kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Msingi Hyloto.

Hata hivyo, Mshtakiwa amelipa faini na kurejesha kiasi cha fedha alichofanyia ubadhirifu hivyo ameachiwa huru.

ShareTweetSendShare

Taarifa kwa Umma

KUTOKA MAHAKAMA YA WILAYA YA MOMBA MKOA WA SONGWE

KUTOKA MAHAKAMA YA WILAYA YA MOMBA MKOA WA SONGWE

KUTOKA MAHAKAMA YA WILAYA MLELE – KATAVI

KUTOKA MAHAKAMA YA WILAYA YA KIBONDO, KIGOMA.

PONGEZI TAKUKURU MKOA WA RUKWA

PONGEZI TAKUKURU MKOA WA RUKWA

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA TAKUKURU TANGA

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA TAKUKURU TANGA

Habari Motomoto

  • Kuitwa kwenye usaili wa maandishi

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • National Governance and Corruption Survey (NGACS) 2020

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • Kuitwa kwenye usaili wa ana kwa ana (Oral Interview)

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MAFUNZO YA AWALI YA UCHUNGUZI YAMEHITIMISHWA RASMI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • Wanaotafutwa na TAKUKURU

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

WASILIANA NASI

MKURUGENZI MKUU
TAASISI YA KUZUIA NA KUPAMBANA
NA RUSHWA
1 Mtaa wa TAKUKURU,
S. L. P 1291
41101 DODOMA, Tanzania
Simu: (026) 2323316
Nukushi: (026) 2323332