Waziri wa Nchi Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora Mhe. George Simbachwene, amefanya ziara ya kikazi ya kutembelea maendeleo ya mradi wa ujenzi wa jengo la ofisi ya TAKUKURU Mkoa wa Iringa na hapa anapokea taarifa ya maendeleo ya mradi huo kutoka kwa Mkurugenzi wa Miliki TAKUKURU Mha. Dkt. Emmanuel Kiyabo.
Katika ziara hiyo Mhe Waziri ameongozana pia na Naibu Waziri wake Mhe. Ridhiwani Kikwete. TAKUKURU Iringa. Februari 21, 2024.