Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU CP Salum Rashid Hamduni (wa pili kushoto) amefanya ziara ya kikazi ya kutembelea maendeleo ya mradi wa ujenzi wa jengo la ofisi ya TAKUKURU Mkoa wa Iringa na kumtakaMkandarasi kufanya kazi usiku na mchana ili kukamilisha kazi kwa wakati. Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Usimamizi wa Miliki TAKUKURU, Mha. Dkt. Emmanuel Kiabo.TAKUKURU Iringa. February 21, 2024.