Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU CP. Salum Rashid Hamduni ameshiriki kikao kazi hiki kinachofanyika jijini Arusha. Hiki ni kikao kazi cha nne cha Serikali Mtandao chenye kaulimbiu isemayo: UZINGATIAJI WA SHERIA, SERA, KANUNI NA MIONGOZO YA SERIKALI MTANDAO KWA UBADILISHANAJI SALAMA WA TAARIFA.