Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU CP. Salum Rashid Hamduni, anaongoza ujumbe wa Watanzania wanaoshiriki ‘The 10th Session Conference of the State Parties’. Mkutano huu unafanyika tarehe
11-15 December, 2023
Atlanta, United States of America na kuhudhuriwa wa Viongozi Wakuu wa nchi wanachama, watekelezaji wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mapambano Dhidi ya Rushwa – UNCAC. Katika picha ni Mkurugenzi Mkuu akiwasilisha Taarifa ya Tanzania inayohusu utekelezaji wa UNCAC kwa niaba ya washiriki wenzake, Disemba 12, 2023. TAKUKURU Atlanta – Georgia USA, Disemba 13, 2023.