Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU CP Salum Rashid Hamduni akisaini kitabu cha wageni alipotembelea ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya. Mkurugenzi Mkuu alifika mkoani hapo kushiriki Mkutano Mkuu wa 20 wa PCCB SACCOS unaofanyika mkoani Mbeya. TAKUKURU-MBEYA Oktoba 28, 2023.