Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU CP. Salum Rashid Hamduni, amepokea ugeni wa Kamati ya Kudumu ya Kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Wageni hao wamefika kwa lengo la kujifunza na kubadilishana uzoefu katika masuala ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini. Agosti 22, 2023.