Mtendaji wa kijiji, Mwenyekiti wa kijiji na Mjumbe wa Halmashauri ya kijiji cha Nambalapi wahukumiwa kulipa faini ya Tsh. 800,000/= kila mmoja au kwenda Jela miaka minne.