Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU CP Salum Rashid Hamduni, anaufahamisha umma kuhusu MAADHIMISHO YA SIKU YA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA BARANI AFRIKA 2023.
Mkurugenzi Mkuu anatoa maelezo hayo kupitia kipindi cha JAMBO TANZANIA kinachorushwa mubashara kutokea studio za Televisheni ya Taifa TBC 1, vilivyopo katika Viwanja vya Maonesho ya Kimataifa ya Biashara – SABASABA.