Zawadi ya kumbukumbu

Pichani ni Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Bibi Neema Mwakalyelye akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Zuberi Homera, zawadi ya kumbukumbu kutoka TAKUKURU.