Pichani ni Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Bibi Neema Mwakalyelye (Aliyesimama katikati) na (Kulia) ni Mkuu wa Wilaya ya Chunya Mhe. Mayeka Simon Mayeka, baada ya kusalimiana alipoingia wilayani kwake Juni 20, 2023. Naibu Mkurugenzi Mkuu yuko Wilayani humo kutekeleza Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2023