Pichani ni Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Bibi Neema Mwakalyelye akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Zuberi Homera. Naibu Mkurugenzi Mkuu yuko mkoani humo kutekeleza Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2023. TAKUKURU Mbeya Juni 21, 2023.