TAKUKURU
No Result
View All Result
  • MWANZO
  • KUHUSU SISI
    • SALAMU ZA MKURUGENZI MKUU
    • HISTORIA YA TAASISI
    • MUUNDO WA TAASISI
    • OFISI ZETU
  • UZUIAJI RUSHWA
  • UELIMISHAJI
  • UCHUNGUZI
  • WASHIRIKA
  • MACHAPISHO
  • E-Huduma
  • BLOG
Taarifa kwa Umma
  • MWANZO
  • KUHUSU SISI
    • SALAMU ZA MKURUGENZI MKUU
    • HISTORIA YA TAASISI
    • MUUNDO WA TAASISI
    • OFISI ZETU
  • UZUIAJI RUSHWA
  • UELIMISHAJI
  • UCHUNGUZI
  • WASHIRIKA
  • MACHAPISHO
  • E-Huduma
  • BLOG
No Result
View All Result
TAKUKURU
No Result
View All Result
Home Taarifa kwa Umma

KUTOKA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU

KUTOKA MAHAKAMA YA WILAYA MBOZI – SONGWE

Shauri la Uhujumu Uchumi Namba 27/2023 limefunguliwa Juni 14, 2023, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu DSM mbele ya Mhe. Ngimilanga, ambapo Bw. Eliud Jones Kijalo, aliyekuwa Mhasibu wa Mfuko wa Maendeleo ya Utalii, ameshtakiwa kwa makosa 206 ya Kughushi, Matumizi mabaya ya mamlaka, Ufujaji na Ubadhirifu, Utakatishaji wa fedha haramu na kuusababishia mfuko hasara ya shilingi bilioni 4.03.

Mshatakiwa hakujibu chochote kwakuwa Mahakama haina mamlaka ya kusikiliza shauri hilo na amepelekwa mahabusu hadi tarehe 28 Juni ambapo shauri litatajwa.

Shauri la Uhujumu Uchumi namba 26/2023 limefunguliwa tarehe 13 Juni, 2023 mbele ya Hakimu Mhe. Mrio wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo washtakiwa 8 ambao walikuwa waajiriwa wa Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA), walisomewa mashtaka 48 ya kuendesha genge la uhalifu, kughushi, uchepushaji, kuwasilisha nyaraka za uongo na kuisababishia wakala hasara ya shilingi bilioni 2.16.

Washtakiwa hawakujibu chochote na shauri litatajwa tarehe 27 Juni, 2023

Juni 15, 2023, limefunguliwa shauri la Uhujumu Uchumi namba 29/2023 katika mahakama hiyo hiyo mbele ya Hakimu Mhe. Kabate ambapo Mshtakiwa Simon Masumbuko amesomewa mashtaka matatu ya kughushi, utakatishaji wa fedha haramu na kusababisha hasara ya shilingi bilioni 14, na Mshtakiwa amepelekwa mahabusu hadi tarehe 28 Juni, 2023, shauri hilo litakapotajwa.

ShareTweetSendShare

Taarifa kwa Umma

KUTOKA MAHAKAMANI HANDENI – TANGA

KUTOKA MAHAKAMANI KISUTU DAR ES SALAAM

KUTOKA MAHAKAMA YA WILAYA YA MULEBA MKOANI KAGERA.

KUTOKA MAHAKAMA YA WILAYA YA MULEBA MKOANI KAGERA.

TAKUKURU DODOMA YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KWA KUTEMBELEA WAHITAJI

TAKUKURU DODOMA YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KWA KUTEMBELEA WAHITAJI

DG PCCB

MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU CP. SALUM RASHID HAMDUNI

Habari Motomoto

  • National Governance and Corruption Survey (NGACS) 2020

    National Governance and Corruption Survey (NGACS) 2020

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MAFUNZO YA AWALI YA UCHUNGUZI YAMEHITIMISHWA RASMI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • Wanaotafutwa na TAKUKURU

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MAFUNZO YA “INTERMEDIATE INVESTIGATION COURSE” YAFUNGULIWA RASMI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • KIKAO CHA USHIRIKIANO

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

WASILIANA NASI

MKURUGENZI MKUU
TAASISI YA KUZUIA NA KUPAMBANA
NA RUSHWA
S. L. P 1291
41101 Mtaa wa Jamhuri,
DODOMA, Tanzania
Simu: (026) 2323316
Nukushi: (026) 2323332

WASHIRIKA

ZAECA
EAAACA
IAACA
AAACA
CAACC

WAGENI

747
Visitors Today

© 2022 TAKUKURU

No Result
View All Result
  • MWANZO
  • KUHUSU SISI
    • SALAMU ZA MKURUGENZI MKUU
    • HISTORIA YA TAASISI
    • MUUNDO WA TAASISI
    • OFISI ZETU
  • UZUIAJI RUSHWA
  • UELIMISHAJI
  • UCHUNGUZI
  • WASHIRIKA
  • MACHAPISHO
  • TAARIFA KWA UMMA
  • BLOG

© 2022 TAKUKURU