TAKUKURU
No Result
View All Result
  • MWANZO
  • KUHUSU SISI
    • SALAMU ZA MKURUGENZI MKUU
    • HISTORIA YA TAASISI
    • MUUNDO WA TAASISI
    • OFISI ZETU
  • UZUIAJI RUSHWA
  • UELIMISHAJI
  • UCHUNGUZI
  • WASHIRIKA
  • MACHAPISHO
  • E-Huduma
  • BLOG
Taarifa kwa Umma
  • MWANZO
  • KUHUSU SISI
    • SALAMU ZA MKURUGENZI MKUU
    • HISTORIA YA TAASISI
    • MUUNDO WA TAASISI
    • OFISI ZETU
  • UZUIAJI RUSHWA
  • UELIMISHAJI
  • UCHUNGUZI
  • WASHIRIKA
  • MACHAPISHO
  • E-Huduma
  • BLOG
No Result
View All Result
TAKUKURU
No Result
View All Result
Home Habari

MKUTANO MKUU WA 13 WA VIONGOZI WA TAASISI ZA KUPAMBANA NA RUSHWA JUMUIYA YA MADOLA – SEYCHELLES 2023

MKUTANO MKUU WA 13 WA VIONGOZI WA TAASISI ZA KUPAMBANA NA RUSHWA JUMUIYA YA MADOLA – SEYCHELLES 2023

Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Bibi Neema Mwakalyelye ambaye anashiriki mkutano huu, alipata wasaa wa kusalimiana na kuzungumza mambo machache na Rais wa Seychelles Mhe. Wavel Ramkalawan – Mei 18, 2023, pindi wakuu hao wa Mamlaka za Kupambana na Rushwa walipokwenda kumtembelea Rais huyo IKULU.

Mkutano huu uliofunguliwa Mei 15, 2023 utahitimishwa leo Mei 19, 2023 ukiwa na kaulimbiu isemayo ‘Uniting Commonwealth Africa in the fight against corruption’.

Kupitia mkutano huu, Naibu Mkurugenzi Mkuu amewasilisha mada kuhusu utekelezaji wa Programu ya TAKUKURU – RAFIKI kama mbinu mpya ya ubunifu inayotumiwa na TAKUKURU kuwashirikisha wadau katika kuzuia Rushwa nchini.

ShareTweetSendShare

Taarifa kwa Umma

KUTOKA MAHAKAMA YA WILAYA YA MULEBA MKOANI KAGERA.

KUTOKA MAHAKAMA YA WILAYA YA MULEBA MKOANI KAGERA.

KUTOKA MAHAKAMA YA WILAYA YA KALIUA MKOA WA TABORA

KUTOKA MAHAKAMA YA WILAYA YA KALIUA MKOA WA TABORA

DODOMA  OKT – DES, 2022

DODOMA OKT – DES, 2022

MKUTANO WA 44 WA ESAAMLG – ZAMBIA

MKUTANO WA 44 WA ESAAMLG – ZAMBIA

Habari Motomoto

  • National Governance and Corruption Survey (NGACS) 2020

    National Governance and Corruption Survey (NGACS) 2020

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MAFUNZO YA AWALI YA UCHUNGUZI YAMEHITIMISHWA RASMI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MAFUNZO YA “INTERMEDIATE INVESTIGATION COURSE” YAFUNGULIWA RASMI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • Wanaotafutwa na TAKUKURU

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • KIKAO CHA USHIRIKIANO

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

WASILIANA NASI

MKURUGENZI MKUU
TAASISI YA KUZUIA NA KUPAMBANA
NA RUSHWA
S. L. P 1291
41101 Mtaa wa Jamhuri,
DODOMA, Tanzania
Simu: (026) 2323316
Nukushi: (026) 2323332

WASHIRIKA

ZAECA
EAAACA
IAACA
AAACA
CAACC

WAGENI

1583
Visitors Today

© 2022 TAKUKURU

No Result
View All Result
  • MWANZO
  • KUHUSU SISI
    • SALAMU ZA MKURUGENZI MKUU
    • HISTORIA YA TAASISI
    • MUUNDO WA TAASISI
    • OFISI ZETU
  • UZUIAJI RUSHWA
  • UELIMISHAJI
  • UCHUNGUZI
  • WASHIRIKA
  • MACHAPISHO
  • TAARIFA KWA UMMA
  • BLOG

© 2022 TAKUKURU