Makamu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Phillip Isdor Mpango amefungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, Tanganyika Law Society (TLS) unaofanyika jijini ARUSHA. Kaimu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa ARUSHA Bi. Zawadi Ngailo pamoja na baadhi ya Wanasheria wa TAKUKURU wanashiriki Mkutano huu. TAKUKURU ARUSHA, Mei 10, 2023.