Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU CP. Salum Rashid Hamduni amelizindua rasmi Jengo la ofisi ya TAKUKURU Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara Mei 5, 2023.