Katika picha ni Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Bibi. Neema Mwakalyelye, akipokea zawadi ya picha kutoka kwa Mwanafunzi wa Klabu ya Wapinga Rushwa Moshi Sekondari (aliyeichora), walioshiriki katika ufunguzi wa Jengo la Ofisi ya TAKUKURU Mkoa, Aprili 28, 2023.