Pichani wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu akizindua rasmi Jengo la ofisi za TAKUKURU Mkoa wa Kilimanjaro. Pamoja naye anayeshuhudia tukio hili ni Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Bibi. Neema Mwakalyelye (wa pili kushoto) na Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Kilimanjaro Bi. Frida Wikes. TAKUKURU Kilimanjaro Aprili 28, 2023.