Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU CP. Salum Rashid Hamduni ametembelea na kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa jengo la ofisi ya TAKUKURU Mkoa wa Simiyu ambapo amehimiza kuendelea kusimamia kwa karibu ujenzi husika kwa kuzingatia michoro na BOQ. TAKUKURU Simiyu, Aprili 12, 2023 .