Kikao kati ya watumishi wa TAKUKURU Dodoma na timu ya Mheshimiwa Rais ya kuboresha Taasisi za Haki Jinai, kimefanyika jijini DODOMA ambapo watumishi walipata fursa ya kutoa maoni yao kuhusu uendeshaji wa Taasisi hizi. TAKUKURU Dodoma, Machi 14, 2023.