MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU ATEMBELEA OFISI YA TAKUKURU MKOA WA MANYARA

Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU CP. SALUM RASHID HAMDUNI ametembelea ofisi za TAKUKURU Mkoa wa Manyara . Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar ( ZAECA) Bw. ALI ABDALLA ALLI anayefuatiwa na Mkurunzi wa Elimu kwa Umma TAKUKURU Bw. JOSEPH MWAISWELO na Mkurugenzi wa Uchunguzi ZAECA Bw. NASSIR AHMED. Kushoto kwa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU ni Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Manyara Bi. SUZANA RAYMOND. TAKUKURU, Babati – Manyara. Machi 13, 2023.

Taarifa kwa Umma

KUTOKA MAHAKAMA YA WILAYA YA HAI-KILIMANJARO