” TAKUKURU inaendelea kushirikiana na wadau kama Women Fund Tanzania Trust – WFT, katika mapambano dhidi ya rushwa
ikiwemo Rushwa ya Ngono…”. Haya yamesemwa na Mkurugenzi wa Uzuiaji Rushwa Bi. Sabina Seja katika Kongamano la kuadhimisha miaka 15 ya Women
Fund Tanzania Trust, linaloendelea jijini Dar es Salaam. Februari 24, 2023.