TAKUKURU DODOMA YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KWA KUTEMBELEA WAHITAJI

Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Bibi. Neema Mwakalyelye amewaongoza wanawake wa TAKUKURU Makao Makuu na Mkoa wa Dodoma kutembelea Kituo cha Mtakatifu Theresa – Shirika la Upendo kilichopo Hombolo jijini Dodoma. Naibu Mkurugenzi Mkuu alitoa Wito kwa Wanawake hao kubeba changamoto za wahitaji na kuzitatua kwa kujitoa kwa fedha kidogo kidogo na kusema kuwa kwa umoja wetu tutaweza ….. TAKUKURU Dodoma,  Machi 08, 2023.

Taarifa kwa Umma