Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Bibi. Neema Mwakalyelye, amewaongoza wanawake wa TAKUKURU Makao
Makuu na wale wa Ofisi za TAKUKURU Mkoa wa Dodoma, kutembelea wahitaji (watoto wanaoishi katika mazingira magumu, yatima pamoja na wazee),
ambao wanalelewa katika Kituo cha Mtakatifu Theresa – Shirika la Upendo kilichopo Hombolo jijini Dodoma, Machi 8, 2023.