Katika picha ni Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa – TAKUKURU CP. Salum Rashid Hamduni,
akifafanua jambo kwa Mshauri Elekezi kutoka ESRP Prof. Ernest Mallya (kulia kwake), katika kikao cha majadiliano na kupokea maoni ya
maandalizi ya Mkakati wa Taifa Dhidi ya Rushwa na Mpango wa Utekelezaji Awamu ya Nne (NACSAP IV). TAKUKURU MAKAO MAKUU. Februari 08, 2023.