Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU CP. Salum Rashid Hamduni amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa
Palestina nchini Mheshimiwa Balozi Hamdi Mansour Abu Ali. Mheshimiwa Balozi amefika TAKUKURU kwa lengo la kujadili kwa pamoja mwendelezo wa
utekelezaji wa MoU kati ya TAKUKURU na Mamlaka ya Kupambana na Rushwa Palestina. PCCB HOUSE – Februari 3, 2023.