TAKUKURU
No Result
View All Result
  • MWANZO
  • KUHUSU SISI
    • SALAMU ZA MKURUGENZI MKUU
    • HISTORIA YA TAASISI
    • MUUNDO WA TAASISI
    • OFISI ZETU
  • UZUIAJI RUSHWA
  • UELIMISHAJI
  • UCHUNGUZI
  • WASHIRIKA
  • MACHAPISHO
  • E-Huduma
  • BLOG
Taarifa kwa Umma
  • MWANZO
  • KUHUSU SISI
    • SALAMU ZA MKURUGENZI MKUU
    • HISTORIA YA TAASISI
    • MUUNDO WA TAASISI
    • OFISI ZETU
  • UZUIAJI RUSHWA
  • UELIMISHAJI
  • UCHUNGUZI
  • WASHIRIKA
  • MACHAPISHO
  • E-Huduma
  • BLOG
No Result
View All Result
TAKUKURU
No Result
View All Result
Home Habari

KUTOKA MAHAKAMANI WILAYA YA KAHAMA

KUTOKA MAHAKAMANI WILAYA YA KAHAMA

Januari 13, 2023 imefunguliwa Kesi Mpya ya Uhujumu Uchumi namba ECO.NO. 1/2023 Katika Mahakama ya Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Kahama Mhe. Edmund Kente.

Washitakiwa ni Bw. MICHAEL AUGUSTINO MATOMOLA, aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji WA Halmashauri ya Ushetu kwasasa ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Iramba na wenzie sita.

Kesi hiyo inaendeshwa na Waendesha Mashtaka wa TAKUKURU, SIMON MASHINGIA na JANE MBUGE, ambao waliwasomea hoja za awali za mashtaka ya kuisababishia hasara Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu ya kiasi cha shs. 138,276,250/- katika ya kipindi cha mwaka 2019.

Makosa haya yanadaiwa kutendeka wakati washtakiwa walipokuwa watumishi wa Halmashauri ya Ushetu.

Washtakiwa watano wamekana mashitaka na wameshindwa kutimiza masharti ya dhamana wamepelekwa mahabusu.

Aidha watuhumiwa wawili ambao ni Nicodemus Claude Sengo (Alichelewa kufika kwasasa yupo mahabusu) na Hussein Mustapha Kinjanga hajapatikana hivyo Ofisi inaendelea kumtafuta ili aweze kuunganishwa na wenzie.

Kesi imeahirishwa hadi Januari 17, 2023 kesi itakapokuja kwa ya kusoma hoja za awali (pH)

ShareTweetSendShare

Taarifa kwa Umma

WARSHA YA WADAU KUJADILI RASIMU YA MPANGO MKAKATI WA TAKUKURU 2022- 2026

WARSHA YA WADAU KUJADILI RASIMU YA MPANGO MKAKATI WA TAKUKURU 2022- 2026

APNAC IENDELEE KUWA MSTARI WA MBELE KUKEMEA VITENDO VYA RUSHWA

TAKUKURU KAGERA YAFUATILIA UTEKELEZAJI WA MIRADI 48 YA ZAIDI YA SH. BILIONI 16

MKUTANO WA VIONGOZI NA WATAALAM WA NCHI WANACHAMA WA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA UMOJA WA MATAIFA WA KUPAMBANA NA RUSHWA – 2022

MKUTANO WA VIONGOZI NA WATAALAM WA NCHI WANACHAMA WA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA UMOJA WA MATAIFA WA KUPAMBANA NA RUSHWA – 2022

Habari Motomoto

  • National Governance and Corruption Survey (NGACS) 2020

    National Governance and Corruption Survey (NGACS) 2020

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MAFUNZO YA AWALI YA UCHUNGUZI YAMEHITIMISHWA RASMI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • Wanaotafutwa na TAKUKURU

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MAFUNZO YA “INTERMEDIATE INVESTIGATION COURSE” YAFUNGULIWA RASMI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • KIKAO CHA USHIRIKIANO

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

WASILIANA NASI

MKURUGENZI MKUU
TAASISI YA KUZUIA NA KUPAMBANA
NA RUSHWA
S. L. P 1291
41101 Mtaa wa Jamhuri,
DODOMA, Tanzania
Simu: (026) 2323316
Nukushi: (026) 2323332

WASHIRIKA

ZAECA
EAAACA
IAACA
AAACA
CAACC

WAGENI

3427
Visitors Today

© 2022 TAKUKURU

No Result
View All Result
  • MWANZO
  • KUHUSU SISI
    • SALAMU ZA MKURUGENZI MKUU
    • HISTORIA YA TAASISI
    • MUUNDO WA TAASISI
    • OFISI ZETU
  • UZUIAJI RUSHWA
  • UELIMISHAJI
  • UCHUNGUZI
  • WASHIRIKA
  • MACHAPISHO
  • TAARIFA KWA UMMA
  • BLOG

© 2022 TAKUKURU